Native Bible

Psalms 109:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki, lakini mimi ninawaombea.

Psalms 109:4 in English

Psalms 109:4 · Berean Standard Bible

In return for my love they accuse me, but I am a man of prayer.

Context

2kwa maana watu waovu na wadanganyifu wamefungua vinywa vyao dhidi yangu; wasema dhidi yangu kwa ndimi za udanganyifu. 3Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu. 4Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki, lakini mimi ninawaombea. 5Wananilipiza mabaya kwa mema, chuki badala ya urafiki wangu. 6Agiza mtu mwovu ampinge, mshtaki* asimame mkono wake wa kuume.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.