Zaburi 109:5
Psalms 109:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wananilipiza mabaya kwa mema, chuki badala ya urafiki wangu.
Psalms 109:5 in English
Psalms 109:5 · Berean Standard Bible
They repay me evil for good, and hatred for my love.
Context
3Wamenizunguka kwa maneno ya chuki,
wananishambulia bila sababu. 4Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki,
lakini mimi ninawaombea. 5Wananilipiza mabaya kwa mema,
chuki badala ya urafiki wangu. 6Agiza mtu mwovu ampinge,
mshtaki* asimame mkono wake wa kuume. 7Anapohukumiwa, apatikane na hatia,
nayo maombi yake yamhukumu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.