Zaburi 109:7
Psalms 109:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Anapohukumiwa, apatikane na hatia, nayo maombi yake yamhukumu.
Psalms 109:7 in English
Psalms 109:7 · Berean Standard Bible
When he is tried, let him be found guilty, and may his prayer be regarded as sin.
Context
5Wananilipiza mabaya kwa mema,
chuki badala ya urafiki wangu. 6Agiza mtu mwovu ampinge,
mshtaki* asimame mkono wake wa kuume. 7Anapohukumiwa, apatikane na hatia,
nayo maombi yake yamhukumu. 8Siku zake za kuishi na ziwe chache,
nafasi yake ya uongozi ichukuliwe na mtu mwingine. 9Watoto wake na waachwe yatima,
mke wake na awe mjane.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.