Native Bible

Psalms 109:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watoto wake na waachwe yatima, mke wake na awe mjane.

Psalms 109:9 in English

Psalms 109:9 · Berean Standard Bible

May his children be fatherless and his wife a widow.

Context

7Anapohukumiwa, apatikane na hatia, nayo maombi yake yamhukumu. 8Siku zake za kuishi na ziwe chache, nafasi yake ya uongozi ichukuliwe na mtu mwingine. 9Watoto wake na waachwe yatima, mke wake na awe mjane. 10Watoto wake na watangetange wakiomba, na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao. 11Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo, matunda ya kazi yake yatekwe nyara na wageni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.