Zaburi 109:11
Psalms 109:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo, matunda ya kazi yake yatekwe nyara na wageni.
Psalms 109:11 in English
Psalms 109:11 · Berean Standard Bible
May the creditor seize all he owns, and strangers plunder the fruits of his labor.
Context
9Watoto wake na waachwe yatima,
mke wake na awe mjane. 10Watoto wake na watangetange wakiomba,
na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao. 11Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo,
matunda ya kazi yake yatekwe nyara na wageni. 12Asiwepo mtu yeyote wa kumtendea mema
wala wa kuwahurumia yatima wake. 13Uzao wake na ukatiliwe mbali,
majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.