Zaburi 109:13
Psalms 109:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uzao wake na ukatiliwe mbali, majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho.
Psalms 109:13 in English
Psalms 109:13 · Berean Standard Bible
May his descendants be cut off; may their name be blotted out from the next generation.
Context
11Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo,
matunda ya kazi yake yatekwe nyara na wageni. 12Asiwepo mtu yeyote wa kumtendea mema
wala wa kuwahurumia yatima wake. 13Uzao wake na ukatiliwe mbali,
majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 14Maovu ya baba zake na yakumbukwe
mbele za Bwana,
dhambi ya mama yake
isifutwe kamwe. 15Dhambi zao na zibaki daima mbele za Bwana,
ili apate kukatilia mbali kumbukumbu lao duniani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.