Native Bible

Psalms 109:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maovu ya baba zake na yakumbukwe mbele za Bwana, dhambi ya mama yake isifutwe kamwe.

Psalms 109:14 in English

Psalms 109:14 · Berean Standard Bible

May the iniquity of his fathers be remembered before the LORD, and the sin of his mother never be blotted out.

Context

12Asiwepo mtu yeyote wa kumtendea mema wala wa kuwahurumia yatima wake. 13Uzao wake na ukatiliwe mbali, majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 14Maovu ya baba zake na yakumbukwe mbele za Bwana, dhambi ya mama yake isifutwe kamwe. 15Dhambi zao na zibaki daima mbele za Bwana, ili apate kukatilia mbali kumbukumbu lao duniani. 16Kwa maana kamwe hakuweza kutenda wema, bali alimfukuza mnyonge na mhitaji, aliwafanyia jeuri wahitaji na waliovunjika moyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.