Native Bible

Psalms 109:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Washtaki wangu watavikwa fedheha, na kufunikwa na aibu kama joho.

Psalms 109:29 in English

Psalms 109:29 · Berean Standard Bible

May my accusers be clothed with disgrace; may they wear their shame like a robe.

Context

27Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee Bwana, umetenda hili. 28Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki, watakaposhambulia wataaibishwa, lakini mtumishi wako atashangilia. 29Washtaki wangu watavikwa fedheha, na kufunikwa na aibu kama joho. 30Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Bwana, katika umati mkubwa nitamsifu. 31Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.