Native Bible

Psalms 109:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki, watakaposhambulia wataaibishwa, lakini mtumishi wako atashangilia.

Psalms 109:28 in English

Psalms 109:28 · Berean Standard Bible

Though they curse, You will bless. When they rise up, they will be put to shame, but Your servant will rejoice.

Context

26Ee Bwana, Mungu wangu nisaidie, niokoe sawasawa na upendo wako. 27Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee Bwana, umetenda hili. 28Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki, watakaposhambulia wataaibishwa, lakini mtumishi wako atashangilia. 29Washtaki wangu watavikwa fedheha, na kufunikwa na aibu kama joho. 30Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Bwana, katika umati mkubwa nitamsifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.