Native Bible

Psalms 109:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee Bwana, umetenda hili.

Psalms 109:27 in English

Psalms 109:27 · Berean Standard Bible

Let them know that this is Your hand, that You, O LORD, have done it.

Context

25Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu, wanionapo, hutikisa vichwa vyao. 26Ee Bwana, Mungu wangu nisaidie, niokoe sawasawa na upendo wako. 27Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee Bwana, umetenda hili. 28Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki, watakaposhambulia wataaibishwa, lakini mtumishi wako atashangilia. 29Washtaki wangu watavikwa fedheha, na kufunikwa na aibu kama joho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.