Zaburi 109:25
Psalms 109:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu, wanionapo, hutikisa vichwa vyao.
Psalms 109:25 in English
Psalms 109:25 · Berean Standard Bible
I am an object of scorn to my accusers; when they see me, they shake their heads.
Context
23Ninafifia kama kivuli cha jioni,
nimerushwa-rushwa kama nzige. 24Magoti yangu yamelegea kwa kufunga,
mwili wangu umedhoofika na kukonda. 25Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu,
wanionapo, hutikisa vichwa vyao. 26Ee Bwana, Mungu wangu nisaidie,
niokoe sawasawa na upendo wako. 27Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako,
kwamba wewe, Ee Bwana, umetenda hili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.