Native Bible

Psalms 109:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda.

Psalms 109:24 in English

Psalms 109:24 · Berean Standard Bible

My knees are weak from fasting, and my body grows lean and gaunt.

Context

22Maana mimi ni maskini na mhitaji, moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu. 23Ninafifia kama kivuli cha jioni, nimerushwa-rushwa kama nzige. 24Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda. 25Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu, wanionapo, hutikisa vichwa vyao. 26Ee Bwana, Mungu wangu nisaidie, niokoe sawasawa na upendo wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.