Native Bible

Psalms 109:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maana mimi ni maskini na mhitaji, moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.

Psalms 109:22 in English

Psalms 109:22 · Berean Standard Bible

For I am poor and needy; my heart is wounded within me.

Context

20Haya na yawe malipo ya Bwana kwa washtaki wangu, kwa wale wanaoninenea mabaya. 21Lakini wewe, Ee Bwana Mwenyezi, unitendee wema kwa ajili ya jina lako, uniokoe kwa wema wa pendo lako. 22Maana mimi ni maskini na mhitaji, moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu. 23Ninafifia kama kivuli cha jioni, nimerushwa-rushwa kama nzige. 24Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.