Native Bible

Psalms 109:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wewe, Ee Bwana Mwenyezi, unitendee wema kwa ajili ya jina lako, uniokoe kwa wema wa pendo lako.

Psalms 109:21 in English

Psalms 109:21 · Berean Standard Bible

But You, O GOD, the Lord, deal kindly with me for the sake of Your name; deliver me by the goodness of Your loving devotion.

Context

19Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima. 20Haya na yawe malipo ya Bwana kwa washtaki wangu, kwa wale wanaoninenea mabaya. 21Lakini wewe, Ee Bwana Mwenyezi, unitendee wema kwa ajili ya jina lako, uniokoe kwa wema wa pendo lako. 22Maana mimi ni maskini na mhitaji, moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu. 23Ninafifia kama kivuli cha jioni, nimerushwa-rushwa kama nzige.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.