Zaburi 109:19
Psalms 109:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima.
Psalms 109:19 in English
Psalms 109:19 · Berean Standard Bible
May it be like a robe wrapped about him, like a belt tied forever around him.
Context
17Alipenda kulaani,
nayo laana ikampata;
hakupenda kubariki,
kwa hiyo baraka na ikae mbali naye. 18Alivaa kulaani kama vazi lake,
nayo laana ikamwingia mwilini mwake kama maji,
kwenye mifupa yake kama mafuta. 19Na iwe kama joho alilozungushiwa,
kama mshipi aliofungiwa daima. 20Haya na yawe malipo ya Bwana kwa washtaki wangu,
kwa wale wanaoninenea mabaya. 21Lakini wewe, Ee Bwana Mwenyezi,
unitendee wema kwa ajili ya jina lako,
uniokoe kwa wema wa pendo lako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.