Native Bible

Psalms 109:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alivaa kulaani kama vazi lake, nayo laana ikamwingia mwilini mwake kama maji, kwenye mifupa yake kama mafuta.

Psalms 109:18 in English

Psalms 109:18 · Berean Standard Bible

The cursing that he wore like a coat, may it soak into his body like water, and into his bones like oil.

Context

16Kwa maana kamwe hakuweza kutenda wema, bali alimfukuza mnyonge na mhitaji, aliwafanyia jeuri wahitaji na waliovunjika moyo. 17Alipenda kulaani, nayo laana ikampata; hakupenda kubariki, kwa hiyo baraka na ikae mbali naye. 18Alivaa kulaani kama vazi lake, nayo laana ikamwingia mwilini mwake kama maji, kwenye mifupa yake kama mafuta. 19Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima. 20Haya na yawe malipo ya Bwana kwa washtaki wangu, kwa wale wanaoninenea mabaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.