Zaburi 109:23
Psalms 109:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninafifia kama kivuli cha jioni, nimerushwa-rushwa kama nzige.
Psalms 109:23 in English
Psalms 109:23 · Berean Standard Bible
I am fading away like a lengthening shadow; I am shaken off like a locust.
Context
21Lakini wewe, Ee Bwana Mwenyezi,
unitendee wema kwa ajili ya jina lako,
uniokoe kwa wema wa pendo lako. 22Maana mimi ni maskini na mhitaji,
moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu. 23Ninafifia kama kivuli cha jioni,
nimerushwa-rushwa kama nzige. 24Magoti yangu yamelegea kwa kufunga,
mwili wangu umedhoofika na kukonda. 25Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu,
wanionapo, hutikisa vichwa vyao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.