Zaburi 109:30
Psalms 109:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Bwana, katika umati mkubwa nitamsifu.
Psalms 109:30 in English
Psalms 109:30 · Berean Standard Bible
With my mouth I will thank the LORD profusely; I will praise Him in the presence of many.
Context
28Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki,
watakaposhambulia wataaibishwa,
lakini mtumishi wako atashangilia. 29Washtaki wangu watavikwa fedheha,
na kufunikwa na aibu kama joho. 30Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Bwana,
katika umati mkubwa nitamsifu. 31Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji,
kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.