Native Bible

Psalms 109:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.

Psalms 109:31 in English

Psalms 109:31 · Berean Standard Bible

For He stands at the right hand of the needy one, to save him from the condemners of his soul.

Context

29Washtaki wangu watavikwa fedheha, na kufunikwa na aibu kama joho. 30Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Bwana, katika umati mkubwa nitamsifu. 31Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.