Zaburi 107:38
Psalms 107:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu aliwabariki, hesabu yao ikaongezeka sana, wala hakuruhusu mifugo yao kupungua.
Psalms 107:38 in English
Psalms 107:38 · Berean Standard Bible
He blesses them, and they multiply greatly; He does not let their herds diminish.
Context
36aliwaleta wenye njaa wakaishi humo,
nao wakajenga mji wangeweza kuishi. 37Walilima mashamba na kupanda mizabibu,
nayo ikazaa matunda mengi, 38Mungu aliwabariki, hesabu yao ikaongezeka sana,
wala hakuruhusu mifugo yao kupungua. 39Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa
kwa kuonewa, maafa na huzuni. 40Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu,
aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.