Native Bible

Psalms 107:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi.

Psalms 107:36 in English

Psalms 107:36 · Berean Standard Bible

He causes the hungry to settle there, that they may establish a city in which to dwell.

Context

34nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. 35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; 36aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi. 37Walilima mashamba na kupanda mizabibu, nayo ikazaa matunda mengi, 38Mungu aliwabariki, hesabu yao ikaongezeka sana, wala hakuruhusu mifugo yao kupungua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.