Native Bible

Psalms 107:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo;

Psalms 107:35 in English

Psalms 107:35 · Berean Standard Bible

He turns a desert into pools of water and a dry land into flowing springs.

Context

33Yeye aligeuza mito kuwa jangwa, chemchemi za maji zitiririkazo kuwa ardhi yenye kiu, 34nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. 35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; 36aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi. 37Walilima mashamba na kupanda mizabibu, nayo ikazaa matunda mengi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.