Native Bible

Psalms 107:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walilima mashamba na kupanda mizabibu, nayo ikazaa matunda mengi,

Psalms 107:37 in English

Psalms 107:37 · Berean Standard Bible

They sow fields and plant vineyards that yield a fruitful harvest.

Context

35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; 36aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi. 37Walilima mashamba na kupanda mizabibu, nayo ikazaa matunda mengi, 38Mungu aliwabariki, hesabu yao ikaongezeka sana, wala hakuruhusu mifugo yao kupungua. 39Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa kwa kuonewa, maafa na huzuni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.