Native Bible

Psalms 107:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa kwa kuonewa, maafa na huzuni.

Psalms 107:39 in English

Psalms 107:39 · Berean Standard Bible

When they are decreased and humbled by oppression, evil, and sorrow,

Context

37Walilima mashamba na kupanda mizabibu, nayo ikazaa matunda mengi, 38Mungu aliwabariki, hesabu yao ikaongezeka sana, wala hakuruhusu mifugo yao kupungua. 39Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa kwa kuonewa, maafa na huzuni. 40Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu, aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia. 41Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.