Native Bible

Psalms 107:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu, aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia.

Psalms 107:40 in English

Psalms 107:40 · Berean Standard Bible

He pours out contempt on the nobles and makes them wander in a trackless wasteland.

Context

38Mungu aliwabariki, hesabu yao ikaongezeka sana, wala hakuruhusu mifugo yao kupungua. 39Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa kwa kuonewa, maafa na huzuni. 40Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu, aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia. 41Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo. 42Wanyofu wataona na kufurahi, lakini waovu wote watafunga vinywa vyao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.