Zaburi 107:42
Psalms 107:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanyofu wataona na kufurahi, lakini waovu wote watafunga vinywa vyao.
Psalms 107:42 in English
Psalms 107:42 · Berean Standard Bible
The upright see and rejoice, and all iniquity shuts its mouth.
Context
40Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu,
aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia. 41Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao,
na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo. 42Wanyofu wataona na kufurahi,
lakini waovu wote watafunga vinywa vyao. 43Yeyote aliye na hekima, ayasikie mambo haya,
na atafakari upendo mkuu wa Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.