Native Bible

Psalms 107:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeyote aliye na hekima, ayasikie mambo haya, na atafakari upendo mkuu wa Bwana.

Psalms 107:43 in English

Psalms 107:43 · Berean Standard Bible

Let him who is wise pay heed to these things and consider the loving devotion of the LORD.

Context

41Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo. 42Wanyofu wataona na kufurahi, lakini waovu wote watafunga vinywa vyao. 43Yeyote aliye na hekima, ayasikie mambo haya, na atafakari upendo mkuu wa Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.