Zaburi 107:34
Psalms 107:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo.
Psalms 107:34 in English
Psalms 107:34 · Berean Standard Bible
and fruitful land into fields of salt, because of the wickedness of its dwellers.
Context
32Na wamtukuze yeye katika kusanyiko la watu,
na wamsifu katika baraza la wazee. 33Yeye aligeuza mito kuwa jangwa,
chemchemi za maji zitiririkazo kuwa ardhi yenye kiu, 34nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa,
kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. 35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji,
nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; 36aliwaleta wenye njaa wakaishi humo,
nao wakajenga mji wangeweza kuishi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.