Native Bible

Psalms 107:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, mawimbi ya bahari yakatulia.

Psalms 107:29 in English

Psalms 107:29 · Berean Standard Bible

He calmed the storm to a whisper, and the waves of the sea * were hushed.

Context

27Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, ujanja wao ukafikia ukomo. 28Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawatoa kwenye taabu yao. 29Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, mawimbi ya bahari yakatulia. 30Walifurahi ilipokuwa shwari, naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani. 31Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.