Zaburi 107:30
Psalms 107:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walifurahi ilipokuwa shwari, naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani.
Psalms 107:30 in English
Psalms 107:30 · Berean Standard Bible
They rejoiced in the silence, and He guided them to the harbor they desired.
Context
28Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao,
naye akawatoa kwenye taabu yao. 29Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono,
mawimbi ya bahari yakatulia. 30Walifurahi ilipokuwa shwari,
naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani. 31Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. 32Na wamtukuze yeye katika kusanyiko la watu,
na wamsifu katika baraza la wazee.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.