Native Bible

Psalms 107:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, ujanja wao ukafikia ukomo.

Psalms 107:27 in English

Psalms 107:27 · Berean Standard Bible

They reeled and staggered like drunkards, and all their skill was useless.*

Context

25Kwa maana alisema na kuamsha tufani iliyoinua mawimbi juu. 26Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini, katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka. 27Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, ujanja wao ukafikia ukomo. 28Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawatoa kwenye taabu yao. 29Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, mawimbi ya bahari yakatulia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.