Zaburi 107:25
Psalms 107:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana alisema na kuamsha tufani iliyoinua mawimbi juu.
Psalms 107:25 in English
Psalms 107:25 · Berean Standard Bible
For He spoke and raised a tempest that lifted the waves of the sea.
Context
23Wengine walisafiri baharini kwa meli,
walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu. 24Waliziona kazi za Bwana,
matendo yake ya ajabu kilindini. 25Kwa maana alisema na kuamsha tufani
iliyoinua mawimbi juu. 26Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini,
katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka. 27Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi,
ujanja wao ukafikia ukomo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.