Zaburi 107:24
Psalms 107:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waliziona kazi za Bwana, matendo yake ya ajabu kilindini.
Psalms 107:24 in English
Psalms 107:24 · Berean Standard Bible
They saw the works of the LORD, and His wonders in the deep.
Context
22Na watoe dhabihu za kushukuru,
na wasimulie matendo yake kwa nyimbo za furaha. 23Wengine walisafiri baharini kwa meli,
walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu. 24Waliziona kazi za Bwana,
matendo yake ya ajabu kilindini. 25Kwa maana alisema na kuamsha tufani
iliyoinua mawimbi juu. 26Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini,
katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.