Native Bible

Psalms 107:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini, katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka.

Psalms 107:26 in English

Psalms 107:26 · Berean Standard Bible

They mounted up to the heavens, then sunk to the depths; their courage melted in their anguish.

Context

24Waliziona kazi za Bwana, matendo yake ya ajabu kilindini. 25Kwa maana alisema na kuamsha tufani iliyoinua mawimbi juu. 26Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini, katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka. 27Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, ujanja wao ukafikia ukomo. 28Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawatoa kwenye taabu yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.