Native Bible

Psalms 106:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walinungʼunika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii Bwana.

Psalms 106:25 in English

Psalms 106:25 · Berean Standard Bible

They grumbled in their tents and did not listen to the voice of the LORD.

Context

23Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: kama Mose mteule wake, asingesimama kati yao na Mungu kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza. 24Kisha waliidharau ile nchi nzuri, hawakuiamini ahadi yake. 25Walinungʼunika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii Bwana. 26Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwa kwamba atawafanya waanguke jangwani, 27kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa, na kuwatawanya katika nchi zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.