Native Bible

Psalms 106:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha waliidharau ile nchi nzuri, hawakuiamini ahadi yake.

Psalms 106:24 in English

Psalms 106:24 · Berean Standard Bible

They despised the pleasant land; they did not believe His promise.

Context

22miujiza katika nchi ya Hamu na mambo ya kutisha huko Bahari ya Shamu. 23Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: kama Mose mteule wake, asingesimama kati yao na Mungu kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza. 24Kisha waliidharau ile nchi nzuri, hawakuiamini ahadi yake. 25Walinungʼunika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii Bwana. 26Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwa kwamba atawafanya waanguke jangwani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.