Zaburi 106:26
Psalms 106:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwa kwamba atawafanya waanguke jangwani,
Psalms 106:26 in English
Psalms 106:26 · Berean Standard Bible
So He raised His hand and swore to cast them down in the wilderness,
Context
24Kisha waliidharau ile nchi nzuri,
hawakuiamini ahadi yake. 25Walinungʼunika ndani ya mahema yao,
wala hawakumtii Bwana. 26Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwa
kwamba atawafanya waanguke jangwani, 27kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa,
na kuwatawanya katika nchi zote. 28Walijifunga nira na Baali wa Peori,
wakala dhabihu zilizotolewa kwa miungu isiyo na uhai.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.