Native Bible

Psalms 106:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa, na kuwatawanya katika nchi zote.

Psalms 106:27 in English

Psalms 106:27 · Berean Standard Bible

to disperse * their offspring among the nations and scatter them throughout the lands.

Context

25Walinungʼunika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii Bwana. 26Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwa kwamba atawafanya waanguke jangwani, 27kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa, na kuwatawanya katika nchi zote. 28Walijifunga nira na Baali wa Peori, wakala dhabihu zilizotolewa kwa miungu isiyo na uhai. 29Waliichochea hasira ya Bwana, wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, nayo tauni ikazuka katikati yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.