Native Bible

Psalms 106:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: kama Mose mteule wake, asingesimama kati yao na Mungu kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza.

Psalms 106:23 in English

Psalms 106:23 · Berean Standard Bible

So He said He would destroy them— had not Moses His chosen one stood before Him in the breach to divert His wrath from destroying them.

Context

21Walimsahau Mungu aliyewaokoa, aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri, 22miujiza katika nchi ya Hamu na mambo ya kutisha huko Bahari ya Shamu. 23Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: kama Mose mteule wake, asingesimama kati yao na Mungu kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza. 24Kisha waliidharau ile nchi nzuri, hawakuiamini ahadi yake. 25Walinungʼunika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.