Native Bible

Psalms 106:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

miujiza katika nchi ya Hamu na mambo ya kutisha huko Bahari ya Shamu.

Psalms 106:22 in English

Psalms 106:22 · Berean Standard Bible

wondrous works in the land of Ham, and awesome deeds by the Red Sea.

Context

20Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani. 21Walimsahau Mungu aliyewaokoa, aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri, 22miujiza katika nchi ya Hamu na mambo ya kutisha huko Bahari ya Shamu. 23Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: kama Mose mteule wake, asingesimama kati yao na Mungu kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza. 24Kisha waliidharau ile nchi nzuri, hawakuiamini ahadi yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.