Zaburi 104:17
Psalms 104:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Humo ndege hufanya viota vyao, korongo ana nyumba yake kwenye msunobari.
Psalms 104:17 in English
Psalms 104:17 · Berean Standard Bible
where the birds build their nests; the stork makes her home in the cypresses.*
Context
15divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu,
mafuta kwa ajili ya kungʼarisha uso wake,
na mkate wa kutia mwili nguvu. 16Miti ya Bwana inanyeshewa vizuri,
mierezi ya Lebanoni aliyoipanda. 17Humo ndege hufanya viota vyao,
korongo ana nyumba yake kwenye msunobari. 18Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu,
majabali ni kimbilio la pelele. 19Mwezi hugawanya majira,
na jua hutambua wakati wake wa kutua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.