Native Bible

Psalms 104:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu, majabali ni kimbilio la pelele.

Psalms 104:18 in English

Psalms 104:18 · Berean Standard Bible

The high mountains are for the wild goats, the cliffs a refuge for the rock badgers.*

Context

16Miti ya Bwana inanyeshewa vizuri, mierezi ya Lebanoni aliyoipanda. 17Humo ndege hufanya viota vyao, korongo ana nyumba yake kwenye msunobari. 18Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu, majabali ni kimbilio la pelele. 19Mwezi hugawanya majira, na jua hutambua wakati wake wa kutua. 20Unaleta giza, kunakuwa usiku, wanyama wote wa mwituni huzurura.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.