Zaburi 104:19
Psalms 104:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwezi hugawanya majira, na jua hutambua wakati wake wa kutua.
Psalms 104:19 in English
Psalms 104:19 · Berean Standard Bible
He made the moon to mark the seasons; the sun knows when to set.
Context
17Humo ndege hufanya viota vyao,
korongo ana nyumba yake kwenye msunobari. 18Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu,
majabali ni kimbilio la pelele. 19Mwezi hugawanya majira,
na jua hutambua wakati wake wa kutua. 20Unaleta giza, kunakuwa usiku,
wanyama wote wa mwituni huzurura. 21Simba hunguruma kwa mawindo yao,
na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.