Zaburi 104:21
Psalms 104:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Simba hunguruma kwa mawindo yao, na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu.
Psalms 104:21 in English
Psalms 104:21 · Berean Standard Bible
The young lions roar for their prey and seek their food from God.
Context
19Mwezi hugawanya majira,
na jua hutambua wakati wake wa kutua. 20Unaleta giza, kunakuwa usiku,
wanyama wote wa mwituni huzurura. 21Simba hunguruma kwa mawindo yao,
na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu. 22Jua huchomoza, nao huondoka,
hurudi na kulala katika mapango yao. 23Kisha mwanadamu huenda kazini mwake,
katika kazi yake mpaka jioni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.