Native Bible

Psalms 104:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huyafanya majani ya mifugo yaote, na mimea kwa watu kulima, wajipatie chakula kutoka ardhini:

Psalms 104:14 in English

Psalms 104:14 · Berean Standard Bible

He makes the grass grow for the livestock and provides crops for man to cultivate, bringing forth food from the earth:

Context

12Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji, huimba katikati ya matawi. 13Huinyeshea milima kutoka orofa zake, dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake. 14Huyafanya majani ya mifugo yaote, na mimea kwa watu kulima, wajipatie chakula kutoka ardhini: 15divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, mafuta kwa ajili ya kungʼarisha uso wake, na mkate wa kutia mwili nguvu. 16Miti ya Bwana inanyeshewa vizuri, mierezi ya Lebanoni aliyoipanda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.