Native Bible

Psalms 104:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huinyeshea milima kutoka orofa zake, dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake.

Psalms 104:13 in English

Psalms 104:13 · Berean Standard Bible

He waters the mountains from His chambers; the earth is satisfied by the fruit of His works.

Context

11Huwapa maji wanyama wote wa kondeni, punda-mwitu huzima kiu yao. 12Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji, huimba katikati ya matawi. 13Huinyeshea milima kutoka orofa zake, dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake. 14Huyafanya majani ya mifugo yaote, na mimea kwa watu kulima, wajipatie chakula kutoka ardhini: 15divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, mafuta kwa ajili ya kungʼarisha uso wake, na mkate wa kutia mwili nguvu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.