Native Bible

Psalms 104:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji, huimba katikati ya matawi.

Psalms 104:12 in English

Psalms 104:12 · Berean Standard Bible

The birds of the air nest beside the springs; they sing among the branches.

Context

10Huzifanya chemchemi zimwage maji mabondeni, hutiririka kati ya milima. 11Huwapa maji wanyama wote wa kondeni, punda-mwitu huzima kiu yao. 12Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji, huimba katikati ya matawi. 13Huinyeshea milima kutoka orofa zake, dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake. 14Huyafanya majani ya mifugo yaote, na mimea kwa watu kulima, wajipatie chakula kutoka ardhini:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.