Zaburi 104:10
Psalms 104:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huzifanya chemchemi zimwage maji mabondeni, hutiririka kati ya milima.
Psalms 104:10 in English
Psalms 104:10 · Berean Standard Bible
He sends forth springs in the valleys; they flow between the mountains.
Context
8yakapanda milima, yakateremka mabondeni,
hadi mahali pale ulipoyakusudia. 9Uliyawekea mpaka ambao hayawezi kuuvuka,
kamwe hayataifunika dunia tena. 10Huzifanya chemchemi zimwage maji mabondeni,
hutiririka kati ya milima. 11Huwapa maji wanyama wote wa kondeni,
punda-mwitu huzima kiu yao. 12Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji,
huimba katikati ya matawi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.