Native Bible

Psalms 103:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alijulisha Mose njia zake, na wana wa Israeli matendo yake.

Psalms 103:7 in English

Psalms 103:7 · Berean Standard Bible

He made known His ways to Moses, His deeds to the people of Israel.

Context

5atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai. 6Bwana hutenda haki, naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa. 7Alijulisha Mose njia zake, na wana wa Israeli matendo yake. 8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo. 9Yeye hatalaumu siku zote, wala haweki hasira yake milele,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.