Zaburi 103:9
Psalms 103:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye hatalaumu siku zote, wala haweki hasira yake milele,
Psalms 103:9 in English
Psalms 103:9 · Berean Standard Bible
He will not always accuse us, nor harbor His anger forever.
Context
7Alijulisha Mose njia zake,
na wana wa Israeli matendo yake. 8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema;
si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo. 9Yeye hatalaumu siku zote,
wala haweki hasira yake milele, 10yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu
wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu. 11Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana,
ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.